99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2023
Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China
Maonesho ya Matumizi ya Mashine kwenye mambo ya kilimo yalifanyika kwenye Wilaya ya Zhaoxian ya Shijiazhuang, Hebei wa China tarehe 7, Oktoba, ili kutanguliza wakulima kutumia mashine za kisasa za kilimo kusimamia vizuri mambo ya kilimo na kuvuna kwa ufasini. (Picha ilipigwa na droni/Yan Zhiguo)

Msimu wa Hanlu (umande baridi) kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China unaanza leo tarehe 8, Oktoba. Kabla ya msimu huo, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya kila jitihada kuvuna mazao ili kuendana na majira ya kilimo. Pilikapilika za mavuno zinaonekana kila sehemu shambani. (Picha kutoka Shirika la Habari la China, Xinhua).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha