99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2023
Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China
Wakulima wa Kijiji cha Liudaguan kilichoko Mji wa Tangshan katika Mkoa wa Hebei, China wakichuma pamba shambani, Tarehe 7, Oktoba. (Picha/Li Xiuqing)

Msimu wa Hanlu (umande baridi) kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China unaanza leo tarehe 8, Oktoba. Kabla ya msimu huo, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya kila jitihada kuvuna mazao ili kuendana na majira ya kilimo. Pilikapilika za mavuno zinaonekana kila sehemu shambani. (Picha kutoka Shirika la Habari la China, Xinhua).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha