99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2023
Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China
Mkulima wa matunda akichuma zabibu kwenye kituo cha kupanda zabibu cha Jumuiya ya makazi ya Wenzhi iliyoko Mji wa Lijiang katika Mkoa wa Yunnan, China, Tarehe 7, Oktoba. (Picha/Zhao Qingzu)

Msimu wa Hanlu (umande baridi) kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China unaanza leo tarehe 8, Oktoba. Kabla ya msimu huo, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya kila jitihada kuvuna mazao ili kuendana na majira ya kilimo. Pilikapilika za mavuno zinaonekana kila sehemu shambani. (Picha kutoka Shirika la Habari la China, Xinhua).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha