99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kupata uzoefu halisi halisi ya "Mji wa Angani" katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 22, 2025
Kupata uzoefu halisi halisi ya
Picha ya droni iliyopigwa Machi 7, 2025 ikionyesha mandhari ya Mlima Fanjing katika Mji wa Tongren, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. (Picha na Li He/Xinhua)

TONGREN - Mlima Fanjing katika Mji wa Tongren, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China ni Eneo la Urithi wa Dunia ambalo linachukua eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 775. Mlima huo si tu ni dirisha la kufahamisha mageuzi ya kijiolojia kusini mwa China lakini pia hutumika kama kizuizi cha usalama wa kiikolojia katika sehemu za kati na za juu za Mto Yangtze.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha