

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2023
![]() |
Wanafunzi wakishiriki kwenye shughuli ya hisani ya uuzaji wa vitu katika Shule ya Msingi ya Mtaa wa Binhu, Mji wa Nanning katika Mkoa wa Guangxi, China, Tarehe 31, Mei. |
Wakati Siku ya Watoto ya Kimataifa ikiwadia leo Juni Mosi, watoto wa China wamefurahia kukaribisha siku yao hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali.
Picha zimepigwa na Hu Xingyu/Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma