Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2023
![]() |
Watoto wakicheza kwa furaha ngoma ya dragoni kwenye Chekechea ya Kiini ya Wilaya ya Changxing ya Mji wa Huzhou katika Mkoa wa Zhejiang, China, Tarehe 31, Mei. |
Wakati Siku ya Watoto ya Kimataifa ikiwadia leo Juni Mosi, watoto wa China wamefurahia kukaribisha siku yao hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali.
Picha zimepigwa na Hu Xingyu/Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma