99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2023
Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi
Mwalimu akitengeneza ice cream kwa ajili ya wanafunzi kwa kutumia kimiminika cha Nitrojeni katika shughuli ya sayansi na teknolojia ya shule ya msingi ya eneo la Dongcheng la Beijing, China, Tarehe 31, Mei.

Wakati Siku ya Watoto ya Kimataifa ikiwadia leo Juni Mosi, watoto wa China wamefurahia kukaribisha siku yao hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali.

Picha zimepigwa na Hu Xingyu/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha