99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2023
Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao
Mwanamke akimkumbatia mpenzi wake aliyekuja kumpokea kwenye Stesheni ya Reli ya Guiyang Kaskazini katika Mji wa Guiyang, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Januari 13, 2023. (Xinhua/Liu Xu)

Pilikapilika za usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China zilianza Januari 7 mwaka huu na Wachina wako njiani mwa kwenda kujumuika pamoja na wapendwa wao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha