Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2023
![]() |
Msichana mdogo akimbusu baba yake aliyekuja kumpokea katika Stesheni ya Reli ya Liuzhou, Mkoa unaojiendesha wa Guangxi nchini China, Januari 14, 2023. (Xinhua/Cao Yiming) |
Pilikapilika za usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China zilianza Januari 7 mwaka huu na Wachina wako njiani mwa kwenda kujumuika pamoja na wapendwa wao.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma