99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2023
Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao
Mwanamke akimkabidhi mumewe shada la maua ambaye amewasili hivi punde katika Stesheni ya Reli ya Chengdu, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China, Januari 16, 2023. (Xinhua/Xu Bingjie)

Pilikapilika za usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China zilianza Januari 7 mwaka huu na Wachina wako njiani mwa kwenda kujumuika pamoja na wapendwa wao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha