99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mwonekano wa karibu wa eneo la ushirikiano wa kina la Guangdong-Macao mjini Hengqin, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2024
Mwonekano wa karibu wa eneo la ushirikiano wa kina la Guangdong-Macao mjini Hengqin, China
Mfanyakazi wa forodha akikagua kitambulisho cha abiria katika Bandari ya Hengqin, Novemba 25, 2024. (Xinhua/Deng Hua)

Mwaka 2021, serikali kuu ya China iliamua kujenga eneo la ushirikiano wa kina la Guangdong-Macao la Hengqin la Mji wa Zhuhai wa Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, ikifanya mji huo wa kisiwa kuwa kituo kipya muhimu cha ukuaji wa uchumi wa Macao.

Hadi itakapofika Mwaka 2035, eneo hilo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 106 linatarajiwa kuwa injini yenye nguvu ya ushoroba wa uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia wa Guangzhou-Zhuhai-Macao na kusaidia uchumi wa Macao wa umilikaji mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha