

Lugha Nyingine
Mwonekano wa karibu wa eneo la ushirikiano wa kina la Guangdong-Macao mjini Hengqin, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2024
![]() |
Abiria akipiga picha wakati akisubiri kupanda treni ya Reli Nyepesi ya Macao huko Hengqin, tarehe 2 Desemba 2024. (Picha na Cheong Kam Ka/Xinhua) |
Mwaka 2021, serikali kuu ya China iliamua kujenga eneo la ushirikiano wa kina la Guangdong-Macao la Hengqin la Mji wa Zhuhai wa Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, ikifanya mji huo wa kisiwa kuwa kituo kipya muhimu cha ukuaji wa uchumi wa Macao.
Hadi itakapofika Mwaka 2035, eneo hilo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 106 linatarajiwa kuwa injini yenye nguvu ya ushoroba wa uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia wa Guangzhou-Zhuhai-Macao na kusaidia uchumi wa Macao wa umilikaji mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma