99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 19, 2024
Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia
Mwanakijiji akirutubisha shamba katika Kijiji cha Manxi cha Wilaya ya Yuqing, mji wa Zunyi, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Februari 18, 2024. (Picha na He Chunyu/Xinhua)

Wakulima kote China wako na shughuli nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati siku ya Yushui (Maji ya Mvua), ambayo ni ya pili katika vipindi 24 vya hali ya hewa kwa kalenda ya kilimo ya China, inapokaribia. Siku ya Yushui inaangukia leo Februari 19.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha