99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 19, 2024
Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia
Picha iliyopigwa Februari 18, 2024 ikionyesha mkulima akilima shamba kwa plau katika Kijiji cha Nongchang cha Mji wa Hezhou, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China. (Picha na Liao Zuping/Xinhua)

Wakulima kote China wako na shughuli nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati siku ya Yushui (Maji ya Mvua), ambayo ni ya pili katika vipindi 24 vya hali ya hewa kwa kalenda ya kilimo ya China, inapokaribia. Siku ya Yushui inaangukia leo Februari 19.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha