99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Polisi na wakazi wakaribisha pamoja Siku ya Polisi ya Umma ya China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2024
Polisi na wakazi wakaribisha pamoja Siku ya Polisi ya Umma ya China
Watu wakitazama vifaa na zana zinazotumiwa na polisi katika shughuli ya kufunguliwa kwa Kituo cha Polisi iliyofanyika katika Kituo cha Polisi cha Mji wa Wuhan, Mkoa wa Hubei, Januari 7. (Picha na Zhao Jun/Xinhua)

Siku za hivi karibuni, idara za Polisi za maeneo mbalimbali zimefanya shughuli za kufunguliwa kwa kituo cha Polisi, kufanya mawasiliano kati ya wakazi na polisi, kuwaonyesha watu silaha na zana za polisi, kueneza ujuzi wa mambo ya polisi na sheria na kanuni za kawaida ili kukaribisha Siku ya Nne ya Polisi ya Umma ya China ya Januari 10.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha