99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Polisi na wakazi wakaribisha pamoja Siku ya Polisi ya Umma ya China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2024
Polisi na wakazi wakaribisha pamoja Siku ya Polisi ya Umma ya China
Watu wakitazama helikopta ya polisi katika shughuli ya kufunguliwa kwa Kituo cha Polisi iliyofanyika kwenye Uwanja wa Mkutano wa Kimataifa wa Nanning, Mkoa wa Guangxi, Januari 7. (Picha na Yu Xiangquan/Xinhua)

Siku za hivi karibuni, idara za Polisi za maeneo mbalimbali zimefanya shughuli za kufunguliwa kwa kituo cha Polisi, kufanya mawasiliano kati ya wakazi na polisi, kuwaonyesha watu silaha na zana za polisi, kueneza ujuzi wa mambo ya polisi na sheria na kanuni za kawaida ili kukaribisha Siku ya Nne ya Polisi ya Umma ya China ya Januari 10.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha