99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa?na Dunia (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023

亞吉鐵路

? Reli ya Addis Ababa-Djibouti

Oktoba 5, 2016, ilikamilishwa na kufunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma.

Imeanza rasmi kuendeshwa kibiashara Januari 1, 2018. Ni Reli ya kwanza inayotumia umeme kujengwa na China barani Afrika na reli ya kwanza ya kuunganisha nchi mbalimbali inayotumia umeme barani Afrika, yote yanatumia vigezo na vifaa vya China.

Wakati wa ujenzi na uendeshaji wa mradi huo, ajira zaidi ya 50,000 kwa wenyeji zilitolewa na wafanyakazi zaidi ya 3,000 wa taaluma na ufundi wa reli walipewa mafunzo. Madereva wa treni wenyeji jumla ya 107 wamepatiwa mafunzo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha