99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa?na Dunia (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023

中老鐵路

? Reli ya China-Laos

Ilifunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma Desemba 3, 2021.

Hadi kufikia Oktoba 3, 2023, jumla ya abiria zaidi ya milioni 21.9 wamesafirishwa.

Treni zaidi ya 26,000 za mizigo zimeendeshwa, zikisafirisha mizigo kwa tani milioni 26.8. Aina za bidhaa zimeongezeka kutoka aina zaidi ya 10 katika hatua ya awali ya ufunguzi hadi aina zaidi ya 2,700.

Mwaka 2022, kati ya bidhaa zilizosafirishwa kupitia reli kati ya China na ASEAN, uwiano wa bidhaa zilizosafirishwa kupitia reli ya China-Laos uliongezeka hadi 44.7%, na kuchangia zaidi ya 60% katika ukuaji wa uagizaji na uuzaji bidhaa nje kwa usafirishaji wa reli kati ya China na ASEAN.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha