Kazi ya maandalizi ya Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaingia hatua ya mwisho (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa Novemba 2, 2023 ikionyesha banda la Eneo Maalum la kuonesha uchumi wa kidigitali wa kimataifa lililoandaliwa kwa ajili ya Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 2, 2023. (Xinhua/Wang Xiang) |
Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamepangwa kufanyika mjini Shanghai, China kuanzia Novemba 5 hadi 10. Kazi ya maandalizi katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho cha Shanghai imeingia hatua ya mwisho.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma