99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kazi ya maandalizi ya Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaingia hatua ya mwisho (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2023
Kazi ya maandalizi ya Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaingia hatua ya mwisho
Gari linalotumia teknolojia za akili bandia, lililojaa chipu kutoka Kampuni ya Qualcomm likiendeshwa kuelekea kwenye banda kwa ajili ya Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 2, 2023. (Xinhua/Wang Xiang)

Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamepangwa kufanyika mjini Shanghai, China kuanzia Novemba 5 hadi 10. Kazi ya maandalizi katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho cha Shanghai imeingia hatua ya mwisho.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha