

Lugha Nyingine
Mamlaka za reli zaandaa?masoko na burudani ndani ya treni katika Mkoa wa Guizhou, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2023
Treni Na.5630 na 5629 ni "treni za mwendo wa polepole" zinazotoa huduma ya usafiri kati ya Zunyi ya Mkoa wa Guizhou na Mji wa Chongqing Kusini Magharibi mwa China.
Mamlaka za reli za eneo hilo zimekuwa zikiandaa masoko na burudani ndani ya treni, ambayo huwaruhusu wanavijiji wanaoishi kando ya njia hiyo ya treni kuuza bidhaa kwa abiria na wakati huo huo kuwapa abiria uzoefu maalum wa kusafiri.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma