99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mamlaka za reli zaandaa?masoko na burudani ndani ya treni katika Mkoa wa Guizhou, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2023
Mamlaka za reli zaandaa?masoko na burudani ndani ya treni katika Mkoa wa Guizhou, China
Wahudumu wa treni wakicheza ngoma ndani ya treni Na. 5630 kutoka Zunyi, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China hadi Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Julai 11, 2023. (Xinhua/Huang Wei)

Treni Na.5630 na 5629 ni "treni za mwendo wa polepole" zinazotoa huduma ya usafiri kati ya Zunyi ya Mkoa wa Guizhou na Mji wa Chongqing Kusini Magharibi mwa China.

Mamlaka za reli za eneo hilo zimekuwa zikiandaa masoko na burudani ndani ya treni, ambayo huwaruhusu wanavijiji wanaoishi kando ya njia hiyo ya treni kuuza bidhaa kwa abiria na wakati huo huo kuwapa abiria uzoefu maalum wa kusafiri.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha