99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kikosi cha Waokoaji wa China chashiriki katika juhudi za kutoa misaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi nchini Uturuki

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 09, 2023
Kikosi cha Waokoaji wa China chashiriki katika juhudi za kutoa misaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi nchini Uturuki
Mwokoaji wa Shirikisho la Waokoaji wa Kujitolea la Shenzhen, China akitazama ramani ya eneo lililokumbwa na janga kabla ya kuondoka Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Februari 8, 2023. Kikosi cha kutangulia chenye watu 6 waliobeba vifaa vya kutambua na vya kusaidia kikosi cha Shirikisho la Waokoaji wa kujitolea la Shenzhen kimeelekea Uturuki kupitia Hong Kong siku ya Jumatano kushiriki katika juhudi za utoaji misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi huko. (Xinhua/Mao Siqian)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha