Kikosi cha Waokoaji wa China chashiriki katika juhudi za kutoa misaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi nchini Uturuki (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 09, 2023
![]() |
Mtu wa uokoaji kutoka Blue Sky Rescue (BSR) akiangalia vifaa vya misaada kabla ya kuondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Wuhan Tianhe huko Wuhan, Mkoa wa Hubei katikati mwa China, Februari 8, 2023, kuelekea Uturuki, nchi ambayo imekumbwa na tetemeko la ardhi ili kusaidia juhudi za utafutaji na uokoaji. (Xinhua/Wu Zhizun) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma