Idadi ya makontena yaliyosafirishwa kwenye Bandari ya Shanghai yachukua nafasi ya kwanza duniani kwa miaka 13 mfululizo (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2023
![]() |
Tarehe 7, Januari, Mwaka 2023, kwenye Gati la makontena katika eneo la bandari ya maji ya kina kirefu ya Yangshan ya Shanghai nchini China, ambapo taa zote zikiwaka kote , na kazi za kupakiwa na kupakuwa kwa makontena zikifanywa kwa utaratibu. |
Mwaka 2022, idadi ya makontena yaliyosafirishwa kwenye Bandari ya Shanghai imezidi milioni 47.3 na kuchukua nafasi ya kwanza duniani kwa miaka 13 mfululizo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma