

Lugha Nyingine
Jinan yafungua mapango ya kukinga shambulizi kutoka angani kwa wakazi ili kuepuka joto
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2022
![]() |
Wakazi wakijiburudisha kwenye mapango ya kukinga shambulizi kutoka angani huko Jinan, Mkoa wa Shandong wa China, Julai 8, 2022. |
Kutokana na hali joto ya hewa ya hivi sasa, mji wa Jinan umefungua bure mapango tisa ya kukinga shambulizi kutoka angani, ambapo wakazi wanaweza kupata huduma za kujiburudisha, kusoma, kufanya michezo na kufanya mazoezi ya kujenga afya. (Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma