99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Jinan yafungua mapango ya kukinga shambulizi kutoka angani kwa wakazi ili kuepuka joto (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2022
Jinan yafungua mapango ya kukinga shambulizi kutoka angani kwa wakazi ili kuepuka joto
Wakazi wakijiburudisha kwenye mapango ya kukinga shambulizi kutoka angani huko Jinan, Mkoa wa Shandong wa China, Julai 8, 2022.

Kutokana na hali joto ya hewa ya hivi sasa, mji wa Jinan umefungua bure mapango tisa ya kukinga shambulizi kutoka angani, ambapo wakazi wanaweza kupata huduma za kujiburudisha, kusoma, kufanya michezo na kufanya mazoezi ya kujenga afya. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha