99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Meli ya kitalii "Star Voyager" yafanya safari ya kwanza katika Kisiwa cha Sanya, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 05, 2025
Meli ya kitalii
Watalii wa meli ya kitalii ya "Star Voyager" ya Kampuni ya Star Cruises wakipiga picha kwenye Bandari ya Kimataifa ya Meli za Kitalii ya Kisiwa cha Phoenix cha Sanya mkoani Hainan, kusini mwa China, Septemba 4, 2025. (Xinhua/Zhao Yingquan)

Meli ya kitalii ya "Star Voyager" ya Kampuni ya Star Cruises iliyobeba watalii takriban 1,200 kutoka nchi na maeneo 16 duniani imefanya safari yake ya kwanza katika Kisiwa cha Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China na kuanzisha usafiri wake wa kwanza katika China Bara.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha