99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Uzoefu mdogo wa kujihisi urithi wa?utamaduni usioshikika?katika kituo cha wanahabari?cha Mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai 2025 mjini?Tianjin

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2025
Uzoefu mdogo wa kujihisi urithi wa?utamaduni usioshikika?katika kituo cha wanahabari?cha Mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai 2025 mjini?Tianjin
Mwandishi wa habari wa Indonesia (Kushoto) anajifunza kuhusu mbinu za kuunganisha vibao katika kituo cha wanahabari cha Mkutano wa mwaka huu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) mjini Tianjin, China, Agosti 31, 2025. (Xinhua/Zhang Xiaoyu)

Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai wa mwaka 2025 unafanyika kuanzia Agosti 31 hadi Septemba 1 mjini Tianjin. Kituo cha wanahabari cha mkutano huo kimekuwa na eneo la uzoefu wa urithi wa kitamaduni usioshikika, kuwapa wanahabari fursa ya kujaribu ufundi wa sanaa za urithi wa utamaduni usioshikika kama vile picha za mwaka mpya za Yangliuqing zilizotokana na uchongaji wa picha kwenye vibao, sanamu za ufinyanzi wa udongo za Zhang na utengenezaji wa vyombo vya mbao vya rangi ya kung'arisha.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha