99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Hali mbalimbai ya kuvutia kwenye gwaride la Siku ya Ushindi ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2025
Hali mbalimbai ya kuvutia kwenye gwaride la Siku ya Ushindi ya China
Vifaru vya kufanya mashambulizi ya kurusha makombora angani vikionekana kwenye gwaride la kijeshi mjini Beijing, Septemba 3, 2025. (Xinhua/Xu Yu)

Jana Jumatano China imefanya maadhimisho ya miaka 80 tangu kupata ushindi katika Vita vya Watu wa China vya Kupambana Uvamizi wa Japan na Vita vya Dunia vya Kupinga Ufashisti mjini Beijing. Katika mkutano huo pamoja na mambo mengine, kumefanyika gwaride kubwa la kijeshi ambalo lilikaguliwa na Rais Xi Jinping, likionesha silaha mbalimbali za kisasa na za hali ya juu.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha