99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Habari katika picha:?Shamba?kama kiwanda linalotumia teknolojia?za kisasa mjini?Kuqa, Xinjiang nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2025
Habari katika picha:?Shamba?kama kiwanda linalotumia teknolojia?za kisasa mjini?Kuqa, Xinjiang nchini China
Picha hii iliyopigwa Agosti 13, 2025 inaonyesha shamba kama kiwanda mjini Kuqa, eneo la Aksu, Mkoani Xinjiang, China. (Xinhua/Liu Jiaqi)

Shamba la kisasa linalofanana na kiwanda katika mji wa Kuqa, linaonekana kuwa ni mradi mkuu wa mpango wa msaada unaogharamiwa na mji wa Ningbo ulioko Mkoani Zhejiang mashariki mwa China. Shamba hilo mfano wa kiwanda linaweza kuzalisha mazao ya kilimo kwa mwaka mzima kupitia udhibiti wa halijoto, unyevu, mwanga na virutubisho.

Ikiwa ni hatua muhimu ya ushirikiano kati ya mji wa Ningbo na Kuqa, mradi huo umetumia teknolojia na vifaa vya kilimo bila kutumia udongo vinavyotolewa na makampuni ya Ningbo kuzalisha mazao bora ya kilimo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha