99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mji wa Dongying,?China watumia ardhi isiyo na matumizi kwenye eneo lenye mafuta kuzalisha?nishati safi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2025
Mji wa Dongying,?China watumia ardhi isiyo na matumizi kwenye eneo lenye mafuta kuzalisha?nishati safi
Picha iliyopigwa kwa droni Agosti 8, 2025 inaonyesha mradi wa mfano wa muunganiko wa paneli za nishati ya jua mjini Dongying, Mkoani Shandong China. (Xinhua/Guo Xulei)

Katika miaka ya hivi karibuni mji wa Dongying umekuwa mzalishaji wa nishati safi. Ili kutumia vizuri ardhi iliyoachwa kwenye eneo la uchimbaji mafuta la Shengli, mradi wa mfano wa muunganiko wa paneli za nishati ya jua wenye uwezo wa kuzalisha megawati 300 uliokamilishwa Mei 2025, unaweza kusambaza umeme wa kilowati saa milioni 480 kwa mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha