99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kijiji cha wachezaji cha Michezo ya Dunia ya Chengdu chafunguliwa, kukaribisha wachezaji wa kimataifa (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2025
Kijiji cha wachezaji cha Michezo ya Dunia ya Chengdu chafunguliwa, kukaribisha wachezaji wa kimataifa
Picha iliyopigwa tarehe 3, Agosti ikionesha duka la bidhaa za kienyeji za Mkoa wa Sichuan katika eneo la A la ya Kijiji cha Wachezaji cha Michezo ya Dunia ya Chengdu. (Wang Xi/Xinhua)

Tarehe 3 mwezi huu, kijiji cha wachezaji cha Michezo ya Dunia ya 12 kimefunguliwa mjini Chengdu, Mkoani Sichuan, China.

Kamati ya kijiji hicho imejulisha kuwa, kijiji hicho kinagawanywa katika maeneo mawili ya A na B, na kitaendeshwa kuanzia tarehe 3 hadi 18 mwezi huu. Wakati wa michezo hiyo, kijiji hicho kitatoa huduma kwa wachezaji 7,000 hivi.

Katika kijiji hicho, kuna mikahawa kwa wachezaji na maofisa, kituo cha kujiandikisha, kituo cha huduma kwa wachezaji, chumba cha matibabu, chumba cha matibabu ya jadi ya China, jimu, na kituo cha kupima dawa za kuongeza nguvu.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Picha