Teknolojia na bidhaa muhimu za mnyororo wa viwanda vya EV zaonyeshwa kwenye Maonyesho ya 3 CISCE
Katika eneo la Mnyororo wa Magari ya Teknolojia za Kisasa la Maonyesho ya 3 ya Kimataifa ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya China (CISCE), kampuni za kiviwanda na taasisi zaidi ya 30 za ndani na nje ya China zimeonyesha teknolojia na bidhaa muhimu za mnyororo wa Viwanda vya Magari yanayotumia Nishati ya Umeme (EV), zikionyesha mafanikio ya ushirikiano wa kiuvumbuzi katika sekta hiyo.
Mbali na eneo hilo la Mnyororo wa Magari ya Teknolojia za Kisasa, eneo la Mnyororo wa Viwanda vya Teknolojia ya Hali ya Juu na eneo la Mnyororo wa Teknolojia za Kidijitali pia yalikuwa na bidhaa na matumizi ya kiteknolojia zinazohusiana na tasnia ya EV.
Wilaya ya Xuan’en yahimiza utalii wa usiku kando ya Mto Gongshui Katikati mwa China
Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China
Mji wa Tianjin, China waharakisha ufungamanishaji wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi
Ardhioevu yalinda spishi za ndege kutoka kwenye uwanda hadi mijini
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma