99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2025
Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China
Watalii wakitembelea mtaa wa kihistoria na kitamaduni wa Taoyangli katika Mji wa Jingdezhen, Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China, Julai 13, 2025. (Xinhua/Liu Jinhai)

Mtaa wa kihistoria na kitamaduni wa Taoyangli uliopo katikati mwa Mji wa Jingdezhen, katika Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China, umebadilika kwa mafanikio kutoka mtaa mkongwe uliojengwa zamani kuwa eneo lenye hali ya ustawi wa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii katika miaka ya hivi karibuni. Hivi sasa, mtaa huo umekuwa kivutio cha lazima kutembelea kwa watalii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha