Vivutio vya Kijiji cha Guangdong katika Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki?mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa tarehe 18 Julai 2025 ikionyesha treni ya utalii wa kutazama mandhari katika Kijiji cha Guangdong katika Mkoa wa Jilin, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Shao Zedong) |
Kijiji cha Guangdong, ambacho ni kijiji cha mpakani katika Mkoa wa Jilin, kaskazini-mashariki mwa China, kilipokea watalii zaidi ya 200,000 katika mwaka 2024, kikipata mapato ya yuan zaidi ya milioni 1 (dola za Kimarekani kama 139,317).
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Wilaya ya Xuan’en yahimiza utalii wa usiku kando ya Mto Gongshui Katikati mwa China
Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China
Mji wa Tianjin, China waharakisha ufungamanishaji wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi
Ardhioevu yalinda spishi za ndege kutoka kwenye uwanda hadi mijini
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma