99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kituo cha mafunzo cha Bajiquan mkoani Hebei, China chakaribisha wanafunzi kutoka Russia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2025
Kituo cha mafunzo cha Bajiquan mkoani Hebei, China chakaribisha wanafunzi kutoka Russia
Kocha akiwaongoza wanafunzi wa Russia kufanya mazoezi ya Bajiquan, aina ya Kung Fu yenye nguvu, kwenye kituo cha mafunzo katika Wilaya ya Qingxian, Mji wa Cangzhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Juni 25, 2025. (Picha na Fu Xinchun/Xinhua)

Kituo cha mafunzo ya Bajiquan, katika Wilaya ya Qingxian, Mji wa Cangzhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China kimekaribisha kundi la kwanza la mwaka huu la wanafunzi wa kimataifa kutoka Russia, ambao watajifunza Bajiquan, ambayo ni aina ya Kung Fu yenye nguvu na kujionea na kuufanya kwa vitendo utamaduni wa China wa sanaa ya kupigana kujihami. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha