99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ustawi wa uchumi wa baharini wa China wachochea ongezeko tulivu na endelevu la maendeleo ya biashara duniani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2025
Ustawi wa uchumi wa baharini wa China wachochea ongezeko tulivu na endelevu la maendeleo ya biashara duniani
Picha hii iliyopigwa tarehe 9 Julai 2025 ikionyesha meli ya mizigo ya New Zealand inayopakua mzigo kwenye Bandari ya Damaiyu katika Mji wa Yuhuan, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China. (Picha na Duan Junli/Xinhua)

Jukwaa la Siku ya Usafiri Baharini ya China Mwaka 2025 lililofanyika Ijumaa katika mji wa pwani wa Boao, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China limesema, tasnia ya baharini ya China hivi sasa inashughulikia karibu theluthi moja ya kiasi cha uchukuzi wa mizigo na usafirishaji wa shehena duniani. Ustawi wa hali motomoto wa uchumi wa baharini wa China umekuwa ukihimiza ongezeko tulivu na endelevu la biashara na maendeleo duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha