99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho na Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Mwaka wa Ulinzi wa Baharini vyafanyika Accra, Ghana

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2025
Maonyesho na Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Mwaka wa Ulinzi wa Baharini vyafanyika Accra, Ghana
Watu wakitembelea kwenye Maonyesho na Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Mwaka wa Ulinzi wa Baharini (IMDEC) mjini Accra, Ghana, Julai 8, 2025. (Picha na Seth/Xinhua)

Maonyesho na Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Mwaka wa Ulinzi wa Baharini (IMDEC) 2025, vimeanza huko Accra, Ghana jana Alhamisi. Tukio hilo lililoandaliwa kwa ufadhili wa Jeshi la Majini la Ghana linaonesha umuhimu mkubwa katika kuimarisha mpango wa ulinzi wa baharini katika Ghuba ya Guinea na katika bara zima la Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha