99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya Raslimali za Mawe ya Kimataifa ya Kunming China 2025 yafunguliwa (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2025
Maonyesho ya Raslimali za Mawe ya Kimataifa ya Kunming China 2025 yafunguliwa
Mwonyeshaji bidhaa (wa tatu, kulia) akiuza vitu vya jade kwenye Maonyesho ya Raslimali za Mawe ya Kimataifa ya Kunming China 2025 katika Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China, Julai 10, 2025. (Xinhua/Chen Xinbo)

Maonyesho ya Raslimali za Mawe ya Kimataifa ya Kunming China 2025 yamefunguliwa huko Kunming, mji mkuu wa Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China jana Alhamisi. Maonyesho hayo ya siku 5 yanachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba takriban 50,000, yakikusanya jumuiya za wafanyabiashara na vikundi vya maonyesho zaidi ya 100 kutoka ndani na nje ya China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha