99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya Kahawa na Chai ya Afrika 2025 yafunguliwa nchini Rwanda

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2025
Maonyesho ya Kahawa na Chai ya Afrika 2025 yafunguliwa nchini Rwanda
Wataalamu wakiandaa vikombe vya chai kwenye Maonyesho ya Kahawa na Chai ya Afrika 2025 mjini Kigali, Rwanda, Julai 8, 2025. (Picha na Cyril Ndegeya/Xinhua)

Maonyesho ya Kahawa na Chai ya Afrika 2025 (ACT Expo) yamefunguliwa rasmi Jumatatu huko Kigali, mji mkuu wa Rwanda, yakijiweka katika nafasi ambayo si tu shughuli moja bali pia ni jukwaa la kimageuzi la kusukuma viwanda vya kahawa na chai vya Afrika kwenye masoko mapya duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha