99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkutano wa 12 wa Reli ya Mwendokasi Duniani wafunguliwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2025
Mkutano wa 12 wa Reli ya Mwendokasi Duniani wafunguliwa Beijing
Alan Beroud, mwenyekiti wa Shirikisho la Kimataifa la Reli akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Reli ya Mwendokasi Duniani uliofunguliwa Beijing, mji mkuu wa China, Julai 8, 2025. (Xinhua/Xing Guangli)

BEIJING – Mkutano wa 12 wa Reli ya Mwendokasi Duniani umefunguliwa Beijing, jana Jumanne, Julai 8, ukiwa na kauli mbiu ya "Reli ya Mwendokasi: Uvumbuzi na Maendeleo kwa Maisha Bora". Washiriki zaidi ya 2,000, wakiwemo mafundi wa reli, viongozi wa kampuni, maofisa wa serikali, na wajumbe kutoka mashirika ya kimataifa, wamehudhuria kwenye ufunguzi wa mkutano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha