99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yatekeleza mpango wa dharura wa kukabiliana na mafuriko mikoani Zhejiang na Fujian (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2025
China yatekeleza mpango wa dharura wa kukabiliana na mafuriko mikoani Zhejiang na Fujian
Meli zikiwa zimetia nanga kwenye bandari ili kuepuka na kimbunga kinachowadia mji Xiamen, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Julai 6, 2025. (Picha na Zeng Demeng/Xinhua)

Wizara ya Rasilimali za Maji ya China Jumatatu imetekeleza mpango wa dharura wa ngazi ya IV kwa kukabiliana na mafuriko katika mikoa ya Zhejiang na Fujian mashariki mwa China ili kuepuka na kimbunga Danas kinachowadia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha