99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yaadhimisha Siku ya 38 ya Kimataifa ya kupinga Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2025
China yaadhimisha Siku ya 38 ya Kimataifa ya kupinga Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu
Ofisa wa polisi akifafanua ujuzi kuhusu kupambana na dawa za kulevya kwa watoto katika butani moja ya Mji wa Jiyuan, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Juni 26, 2025. (Picha na Miao Qiunao/Xinhua)

Jana Alhamisi, tarehe 26 Juni ilikuwa ni Siku ya 38 ya Kimataifa ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu, ambapo shughuli za uenezi na elimu zimefanyika katika sehemu mbalimbali nchini China ili kuongeza uelewa wa umma wa kupambana na dawa za kulevya. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha