99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 20, 2025
Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui
Mfanyakazi akiandaa majani ya chai katika Kijiji cha Houkeng cha Huangshan katika Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Aprili 15, 2025. (Xinhua/Zhou Mu)

Taiping Houkui ni chai maarufu ya kijani katika Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China. Chai hiyo inayojulikana kwa majani yake bapa, marefu na membamba. Ikiwa inalimwa na kukuzwa katika mazingira safi ya Mlima Huangshan, chai hiyo inatengenezwa kwa mikono kwa makini sana, na kazi yake ikiwemo upashaji moto sufuria na kukaushwa kwa uangalifu. Chai hiyo ina harufu yake ya kipekee, ladha tulivu, na ladha tamu ya baada ya kuinywa. Ustadi wa kutengeneza chai hiyo ya Taiping Houkui iliorodheshwa kuwa moja ya mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa China mwaka 2008. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha