99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Zoezi la uokoaji wa dharura baharini lafanyika katika Mji wa Sansha, Hainan, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2025
Zoezi la uokoaji wa dharura baharini lafanyika katika Mji wa Sansha, Hainan, China
Zoezi la uokoaji wa dharura baharini katika Mji wa Sansha likifanyika kwenye maji karibu na Kisiwa cha Yongxing cha Visiwa vya Xisha, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Juni 26, 2025. (Xinhua/Zhao Yingquan)

Zoezi la uokoaji wa dharura baharini limefanyika katika Mji wa Sansha kwenye maji karibu na Kisiwa cha Yongxing cha Visiwa vya Xisha, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China. Zoezi hilo limeshirikisha meli 15, helikopta 2 za uokoaji na waokoaji zaidi ya 200.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha