99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Uokoaji waendelea katika wilaya zilizoathiriwa na mafuriko za Mkoa wa Guizhou, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2025
Uokoaji waendelea katika wilaya zilizoathiriwa na mafuriko za Mkoa wa Guizhou, China
Picha hii ikionyesha mahema ya muda katika Wilaya ya Congjiang, Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China, Juni 24, 2025. (Picha na Wu Dejun/Xinhua)

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha na mitiririko ya maji ya mito kutoka maeneo ya miinuko imesababisha mafuriko makubwa katika wilaya mbili za Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, ikisababisha kuhamishwa kwa makazi watu wengi.

Hadi kufikia saa 8:30 mchana juzi Jumanne, wakaazi 48,900 walikuwa wameshahamishwa kwa muda katika Wilaya ya Rongjiang na 32,000 katika Wilaya ya Congjiang huku mwitikio wa dharura wa kudhibiti mafuriko ukiwa umepandishwa hadi Kiwango cha I, cha juu zaidi, katika wilaya zote hizo mbili. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha