99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shirika la Ndege la Posta la China lazindua njia ya usafirishaji wa mizigo ya kimataifa kati ya Zhengzhou na Luxemburg (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2025
Shirika la Ndege la Posta la China lazindua njia ya usafirishaji wa mizigo ya kimataifa kati ya Zhengzhou na Luxemburg
Ndege ya mizigo ya Shirika la Ndege la Posta la China kutoka Mji wa Zhengzhou wa China hadi Luxemburg, Ulaya ikionekana kabla ya safari yake ya kwanza kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Xinzheng wa Mji Zhengzhou katika Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Juni 23, 2025. (Xinhua/Li Jianan)

Shirika la Ndege la Posta la China limezindua rasmi njia ya usafirishaji wa mizigo ya kimataifa kati ya Mji wa Zhengzhou wa Mkoa wa Henan, katikati mwa China na nchi ya Luxemburg barani Ulaya jana Jumatatu, ikiwa na ratiba ya awali ya kila wiki. Usafiri wa ndege hiyo utaongezwa kulingana na mahitaji ya soko, ili kuimarisha zaidi "Njia ya Hariri ya Anga" ya Zhengzhou-Luxembourg kuwa ukanda unaostawi wa shughuli mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha