99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2025
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Picha hii iliyopigwa kwa droni tarehe 7 Juni 2025 ikionyesha mashine ya kuvuna mazao ya mpunga ikiendeshwa shambani katika Kijiji cha Moqiao, Wilaya ya Qiongshan ya Mji wa Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yamewadia katika Kijiji cha Moqiao, Wilaya ya Qiongshan ya Mji wa Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, ambapo wakulima wanatumia kikamilifu hali nzuri ya hewa kuharakisha uvunaji.

Katika miaka ya hivi karibuni, maendeleo ya eneo hilo la uzalishaji wa mazao ya mpunga si tu yamefufua mashamba ambayo yalikuwa yametelekezwa hapo awali lakini pia yamejenga na kukuza chapa wakilishi za mazao ya kilimo, kuongeza mapato ya wakulima na kuhimiza ustawi wa kijiji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha