99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonesho ya 11 ya Teknolojia ya Kimataifa ya Shanghai China yaanza rasmi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 12, 2025
Maonesho ya 11 ya Teknolojia ya Kimataifa ya Shanghai China yaanza rasmi
Mfanyakazi akiangalia roboti za kufanya kazi kwa kushirikiana zikionyesha jinsi ya kuunganisha pakiti za betri na kukagua uwekaji nyaya kwenye Maonyesho ya 11 ya Teknolojia ya Kimataifa ya Shanghai China yanayofanyika Shanghai, mashariki mwa China, Juni 11, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho ya 11 ya Teknolojia ya Kimataifa ya Shanghai China yameanza rasmi huko Shanghai, mashariki mwa China jana Jumatano. Eneo la maonyesho hayo limefikia mita za mraba 35,000, maonyesho hayo ya mwaka huu yanahusisha sehemu nne za maonyesho ya mada maalumu, sehemu ya huduma ya biashara na sehemu ya shughuli za biashara. Kampuni na wadau wapatao 1,000 kutoka nchi na maeneo takriban 20 wanaonesha mafanikio yao ya uvumbuzi kwenye maonyesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha